Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Sasa kumbe wamehoji wananchi wa mitaanj kama kigogo unategemea nini?

Kama tuputupu anafuraha jina la babake kuwemo na anaona sifa ulitegemea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu muulize yeye kapima...??
muulize alijiweka kwenye Isolation
Muulize je Contacts wa huyu Kwikima hususan ndugu, marafiki na wafanyakazi wenza na marehemu na waliomuuguza wamechukua hatua gani??
Hapo ndipo utakapojua Tanzania ina Raia wa aina gani, kiasi ya kugeuza siasa hata kifo cha baba yako.
 
Kwanini baadhi ya wtz ni wajinga kasi hiki!..hata maisha yako unaingiza siasa...huoni kama serikali ina wajibu wa kukupa taarifa
 
Mkuu angeenda kupima wapi wakati maabara pekee iko busy ikipima mapapai na mafenesi?
 
Huyu ndezi ni ngumu kukuelewa akili kisoda wanawaza serikali iwafanyie kila kitu mpaka namna ya kuliwa bwabwa. Nimemwambia akomae na kuboost immune system ye anarusha mitusi tu. Inshort all over the world taarifa sahihi ni ngumu kuzipata... Even developed country wanautata tu.
 
Utashangaa hata hivyo 256 bado serikali ya kiongozi wa malaika inaficha,Mkuu pia hiyo ni Ilala tu,ukiweka kinondona,temeke na ubungo Kisha ukaongeza mkoa, Strategies na mtukufu zipo vizuri sana
Inaonesha hao wanaokufa kwa corona kwa kiasi hicho wengi ni watu wasiojulikana kwa maana hata ndugu wala jamaa hawana, maana haiwezekani watu wafiwe na ndugu zao kiasi hicho halafu kusiwe na taharuki wakusanyane na kuendelea na shughuli zao bila hofu kama hakuna kilichotokea.
 

This is more than serious!
President Magufuli is more dangerous than the Covid-19 itself😭
 
Mkuu Mungu akijaria baba au mama yako akifa usisahau kutuwekea cheti Cha kifo chake hapa jamvini
Kwani mie nashabikia corona?
Huyo alieaema babake kafa kwa corona aweke cheti,msifanye watu wajinga,kila marehemu anaefia hoapitali lazima apate tangazo la kifo,ambalo kunaelezwa chanzo cha kifo,kusanyeni basi hayo matangazo mtuwekee
 
Serikali please! Update us daily about this pandemic. Tutakwisha kwa kuwa watu wanajirusha tu bila kujikinga. Wanasema: There is No Corona!
 
USA ina Tanzania ngapi kwa wingi wa watu?
Hizi akili bhana
tanzania inaingia us mara 6 kwa idadi ya watu.

haya piga mahesabu yako sawa sawa baada ya kufuturu,ujue nani ana wagonjwa weng kwa kila kundi fulani la watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…