Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Kwani mie nashabikia corona?
Huyo alieaema babake kafa kwa corona aweke cheti,msifanye watu wajinga,kila marehemu anaefia hoapitali lazima apate tangazo la kifo,ambalo kunaelezwa chanzo cha kifo,kusanyeni basi hayo matangazo mtuwekee
Watu waje kuweka vyeti vya kifo humu ndipo uamini kuwa watu wanakufa siyo? Kama huamini kama watu wanakufa endelea kukaa vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani kwenye misongamano utapata jawabu, acha kudai vyeti wakati corona ipo na itabisha hodi kwao mda si mrefu.
 
Naionea huruma nchi yangu Tanzania 🇹🇿
Wanaficha takwimu ili watanzania waendelee kujua corona haipo wazidi kukaa vijiweni waambukizane kwa wingi wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Kilicho kikuu hapa nimeona matumizi us neno " suspects" sasa in legal terms it is not conclusive, hivyo hao suspects ndio walio ongeza hiyo list from 16 confirmed to hao waliopo kwenye register.
 
Kule hakwenda likizo kaikimbia corona Dodoma na Dsm kwani wasaidizi wake wanaishi mitaani anahofia kumletea corona toka majumbani mwao
AHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 

Yaani huwa nikiangalia hizo comments huwa napandwa na hasira mpaka basi.
 
Hapo sasa tutasikia:

"Kwa nini Al Jazeera hawa report vifo vya kwenye hiyo nchi iliko?" Ataendelea, "ndiyo maana nawaambia hivi ni vita vinaelekezwa kwetu!" Mwisho wa kumnukuu.

Hiiiii bagosha!

Hivi hawa waarabu nao tunaweza kuwaita mabeberu au wao tuwatafutie jina jingine? nakumbuka enzi zetu Kenya alileta tafrani kidogo tukamwita "Nyang'au akanyamaza halafu Idi Amin naye akaleta zake tukampa neno Nduli akasota nalo mpaka akapotelea uarabuni je huyu Jamshudin tumwache kwenye ubeberu au tumtafutie size yake?
 
Acha kudandia treni kwa mbele
 
Mkuu kwenye familia yako wameenda wangapi?
Namshukuru Mungu tuko salama.
Kadiri maambukizi yanavyozidi kuenea, yeyote kati yetu ataambukizwa soon. Usisubiri uguswe na msiba ndo uanze kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…