Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Duh..........

Na bado hawa akina Kasim Majaliwa na Ummy Mwalimu wanatuambia kuwa waliokufa ni 16 pekee!

Wacha nchi zote za jirani zitufumgie mipaka yao, ili na sisi tuanze kuonja machungu ya kuwa "isolated"

Kama wanaamini kuna mbingu, basi hao hatakaa waione kamwe!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inji hii!!!!

Hivi kwanini waziri mkuu asiamke tu akataja idadi kubwa ya wagonjwa na vifo kisha akanyamaza kimya ili awaridhishe watanzania wanaotaka kujua idadi kisha waje na hoja mpya.
Kila kitu inji hii kiko na siasa motive kuibua ushindi na ushindwa
 
Hivi kuna watu hawaamini kuwa corona imeua watu wengi sana? Na hiyo list ilikuwa ni April. Sasa hivi idadi imeenda na kwa nchi nzima imeshapita watu 1000 waliofariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…