LGE2024 Mwananchi: Mimi nimejiandikisha ila kura sitapiga kwa sababu CCM walimpitisha mgombea ambae hakushinda kura za maoni

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Salaam

Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa Novemba 27.

Wanajukwaa tusiache kupiga kura, lazima tupate viongozi tunaowataka kwenye mitaa na vijiji vyetu.

Soma pia: Tandale; Wanachama wa CCM wanadai waliomchagua kwa kura nyingi ajashinda lakini mwenye kura 17 ameshinda

View attachment 3156940

Video: The Chanzo
Tuko wengi
 
Wananchi wamefura
 
ni sawa tu ndugu mwananchi,
kura yako itawekwa kwenye kura zilizoharibika.

kwani kuna ubaya wowote ndrugo zango?

Muhimu zaidi uheshimu bila shuruti viongozi watakaochaguliwa na wananchi. Hilo ndilo jambo la maana zaidi 🐒
 
Salaam

Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa Novemba 27.

Wanajukwaa tusiache kupiga kura, lazima tupate viongozi tunaowataka kwenye mitaa na vijiji vyetu.

Soma pia: Tandale; Wanachama wa CCM wanadai waliomchagua kwa kura nyingi ajashinda lakini mwenye kura 17 ameshinda

View attachment 3156940

Video: The Chanzo
CCM hamkani si shwari
 
mgombea ambaye hatafikisha asilimia 50 ya kura hawezi kupita uchaguzi unarudiwa
Hiyo imekaa vizuri sana, wananchi inatakiwa tulete mabadiliko wenyewe,

Changamoto kubwa iko kwenye jamii yetu ambayo ni ya kanyaga twende ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, vile vile, ikotayari kusafishwa ubongo, (we are in a society that can be brain washed)

Jamii ambayo inashindwa kubuni mbinu za kukabilia na changamoto zilizopo ama zinazokuja hata kuto kutumia mbinu zilizofanyiwa majaribio

Kushindwa kubuni mbinu za kukabilia na changamoto zinazosababishwa na binadamu ni aibu zaidi, changamoto zinazo sababishwa na binadamu ndiyo nyingi zaidi

A society that can not create methods to overcome uncertainty catalyze by people, (by its own people)
 
Back
Top Bottom