The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Tuko wengiSalaam
Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa Novemba 27.
Wanajukwaa tusiache kupiga kura, lazima tupate viongozi tunaowataka kwenye mitaa na vijiji vyetu.
Soma pia: Tandale; Wanachama wa CCM wanadai waliomchagua kwa kura nyingi ajashinda lakini mwenye kura 17 ameshinda
View attachment 3156940
Video: The Chanzo
Wananchi wamefuraSalaam

HahahPigia mtu wa chama kingine.
Kwani CCM tu wengine hawafai
Salaam

ni sawa tu ndugu mwananchi,Salaam

CCM hamkani si shwariSalaam

tusikilize sera then tukapige kuraTuko wengi
Sera za walio enguliwa pia, lakini atakaye pigiwa kura 1 kati ya 100 ambao hawajapiga kura si atapita?tusikilize sera then tukapige kura
mgombea ambaye hatafikisha asilimia 50 ya kura hawezi kupita uchaguzi unarudiwaSera za walio enguliwa pia, lakini atakaye pigiwa kura 1 kati ya 100 ambao hawajapiga kura si atapita?
Hiyo imekaa vizuri sana, wananchi inatakiwa tulete mabadiliko wenyewe,mgombea ambaye hatafikisha asilimia 50 ya kura hawezi kupita uchaguzi unarudiwa