PostGE2025 Mwananchi: Tatizo serikali inachokizungumza na inachokitenda vinakinzana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
"Serikali kushindwa kutimiza baadhi ya ahadi wanazoziahidi kwa wananchi yatajwa kuwa huenda ikawa ni moja ya sababu iliyopelekea wananchi kuandamana siku ya Oktoba 29" na Tatizo serikali inachokizungumza na inachokitenda mbona vinakinzana amesema Issa Kingi

Your browser is not able to display this video.
 
Kenge huwa hasikii kipigo hadi damu zitoke kwenye masikio
 
Wameziba masikio ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…