Wadau naomba kuuliza.
je, kuna sheria yeyote nchini hasa maeneo ya vijijini inayomzuia mfanya biashara ndogondogo hasa za mbogamboga kutofanyia biashara yake katika eneo la nyumba yake mpaka apeleke sokoni? kuna wanakijiji wachache eneo la minyughe singida, jimbo la singida magharibi- wilaya ya ikungi wameswekwa ndani kwa kutokupeleka nyanya na matunda ili kuuzia sokoni. sasa hivi bado wako ndani na watapelekwa polisi kwa ajili ya kuandaliwa mashtaka je, hii wadau wa sheria ni sawa? jamani naombeni sana ufafanuzi juu ya suala hili.