Mie mpaka nimeogopa kuchangia lol.mwanandani ni lile shimo linalowekwa jeneza/maiti wakati wa mazishi (ndani ya kaburi panachimbwa katikati hivi, ule ndo mwanandani)
kama ni mpenzi basi MWANDANI wako
naweza kurekebishwa kama nimekosea.
Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale wazazi wake walipo taka kumuozesha kwakua ni binti wa kiislamu na ana asili ya kiarabu, kiukweli swala la kubadili dini yalikua ni maamuzi magumu na mapema ingawa huko mbele ningefanya ivyo, kwa ufupi hadi sasa kaolewa lakini bado nampenda sana na amebadili namba,NIFANYEJE?
Wangu mie anatarajia kuolewa!! na pia sijui la kufanya!! wallah sijui nifanyeje?! sina uwezo wa kumuoa coz nimemaliza chuo juzi tu na kazi sina basi roho yaumaaa!!
Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale wazazi wake walipo taka kumuozesha kwakua ni binti wa kiislamu na ana asili ya kiarabu, kiukweli swala la kubadili dini yalikua ni maamuzi magumu na mapema ingawa huko mbele ningefanya ivyo, kwa ufupi hadi sasa kaolewa lakini bado nampenda sana na amebadili namba,NIFANYEJE?
wacha upuuzi we,wanawake mbona wapo wengine wazuri kushinda uyo
Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale wazazi wake walipo taka kumuozesha kwakua ni binti wa kiislamu na ana asili ya kiarabu, kiukweli swala la kubadili dini yalikua ni maamuzi magumu na mapema ingawa huko mbele ningefanya ivyo, kwa ufupi hadi sasa kaolewa lakini bado nampenda sana na amebadili namba,NIFANYEJE?
mmh hayo ndo yale mapenz ya chuo ya kudanganyana! Hana mapenz ya dhati huyo angekua nayo angekusubiri mpaka kieleweke,anyway pole!!