Kabisa yaani[emoji1][emoji1][emoji1]Tena uzi uwekwe sticky kila jukwaa
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiafrika ndoto yao kubwa ni kuolewa, hawana ndoto nyingine zaidi ya hiyo. Sikatai, wapo wachache wenye ndoto.Wanaume wa kiafrika lazima waue ndoto za mwanamke awe chini yake yaan
Ndoto ni kudanga.Asilimia kubwa ya wanawake wa kiafrika ndoto yao kubwa ni kuolewa, hawana ndoto nyingine zaidi ya hiyo. Sikatai, wapo wachache wenye ndoto.
Hoja yako nataka kuielewa fulani hivi. Hebu funguka kidogo mkuuReality is wrong, Dreams are for real.
Very true. Kuna jamaa alioa akiwa masomoni huko ng'ambo (Leeds University) ile baada ya honeymoon songombingo likaanza mwanamke anataka pesa tu jamaa hela ya scholarship ndo alitegemea aishi kule ughaibuni mke haelew, mpaka December 2020 jamaa alikua hajamaliza PhD Yake toka 2013. Kazini kafukuzwa na masomo hajamalizaVijana wengi mnakimbilia ndoa. Ni jambo jema, ila wengi wenu mkishaingia humo mnasahau malengo yenu katika maisha (career, business/ investment) maisha si kukopa benki na kununua IST/Crown baadae kujenga banda Mbagala au Mbondole bali fikiria investment hususani ya kuongeza kipato.
KAMWE Usikubali maneno ya shombo 'kukatisha tamaa' unapopambania ndoto yako.
Baba wa familia kuwa na picha pana ya maisha yenu ya baadae sio kushinda insta na ku-comment ukidhani umeyapatia
Mkuu kwa mazingira ya Tanzania utawalaumu bure vijana. Mazingira ya uwekezaji siyo stable.fikiria investment hususani ya kuongeza
sipati picha jinsi alivvyo sasaVery true. Kuna jamaa alioa akiwa masomoni huko ng'ambo (Leeds University) ile baada ya honeymoon songombingo likaanza mwanamke anataka pesa tu jamaa hela ya scholarship ndo alitegemea aishi kule ughaibuni mke haelew, mpaka December 2020 jamaa alikua hajamaliza PhD Yake toka 2013