Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hii tabia ya kuchepuka imekuwa kero sana. Kwanini usiombe talaka ukigundua uliyenaye hakutoshelezi kwenye 6 kwa 6 , badala yake unaendelea kuishi naye huku ukichepuka?
Wanaume wengi tunaumizwa na Wanawake sababu tunatumia pesa kama chambo na siyo uwezo wa kimapenzi.
Matokeo yake mwanamke anakubali kuishi na wewe sababu ya pesa zako lakini moyoni mwake humridhishi, kitandani humridhishi, matokeo yake anatoka kwenda kutafuta mwenye uwezo wa kumsugua vizuri.
Matokeo yake unaanza kulalamika, mara huyu mwanamke nimemnunulia gari, nimemjengea nyumba, nimemfungulia biashara, nimempeleka Dubai nk
Hivyo vitu haviwezi kamwe kukata kiu ya mapenzi ya hawa viumbe.
Na ninyi Wanawake acheni tamaa, ukigundua jamaa yako hakuridhishi kitandani, achana naye hata kama ana pesa kumzidi Elon Musk.
Uking'ang'ania kuishi naye huku unam- cheat matokeo yake ni kuchomwa na gunia la mkaa.