M misunjo New Member Joined May 31, 2024 Posts 1 Reaction score 2 May 31, 2024 #1 Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Jun 1, 2024 #2 Mwache asome anachokitaka, computer engineering ni nzuri pia. TAMISEMI wenzako wana click tu vitufe vya keyboard, hawamjui mtoto ana talanta gani au interest zake ni zipi.
Mwache asome anachokitaka, computer engineering ni nzuri pia. TAMISEMI wenzako wana click tu vitufe vya keyboard, hawamjui mtoto ana talanta gani au interest zake ni zipi.
Rayns JF-Expert Member Joined Jul 29, 2023 Posts 3,620 Reaction score 7,818 Jun 1, 2024 #3 Hapo hakuna shida, mwambie apply hiyo kozi anayetaka, na akiripoti shuleni atabadili wala hakuna shida Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hakuna shida, mwambie apply hiyo kozi anayetaka, na akiripoti shuleni atabadili wala hakuna shida Sent using Jamii Forums mobile app
J Johnson json Member Joined Aug 20, 2023 Posts 29 Reaction score 38 Dec 6, 2024 #4 Chuo misunjo said: Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI? Click to expand... Gan
Chuo misunjo said: Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI? Click to expand... Gan