kupiga ngumi na kuchapa vinafanana ? hoja ya mama bandama imeharibika kisa kapigwa ngumi na michirizi mgongoni , je WEWE UNAWEZA mpiga ngumi mtoto wa drs la kwanza NGUMI ? Ebu onesha utimamu wako
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
kwahiyo unahisi wazaz wa mkoa wa kilimanjaro ni wajinga kukaa kimya ? kama huyo kijana angekuwa na tabia hizo kwa ninavyowajua watu wa kilimanjaro wangekuwa wamekiwasha tyrSuala sio kumpooza huyo mama suala ni iwapo kuna mwalimu anafanya ukatili kwa watoto anafichwa.
kama ana majibu yake aweke wazi , mimi siungu mkono watu wanaotaka majibu yao ya kichwan ndo tuyafuate , wajinga mnaruhusiwa kusimamia mihemkoNa tutasimama naye hadi mwisho
Hawa madaktari wengi wao hawajafuzu umahiri wa kitabibu kutokana na uwezo duni wa kiakili na utambuzi hafifu wa mambo kwa ujumla.Hicho kichaka cha kansa ni cha kipumbavu. Suala hapa ni mtoto alipigwa au la? Kama alipigwa ni kwa kiwango gani? Mnajificha na ugonjwa wa mtoto?
Nimekuuliza, mtoto ana nimonia, umempa adhabu ya kukaa kwenye maji, akafa. Ripoti ya Dr imeonyesha nimonia imemuua, inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?mtatuzi wa mwisho ilikuwa majibu ya hospitali , je majibu kuanzia hatua ya kwanza yalisemaj mpk anafika kcmc ? majibu ya awali ni kuwa bandama ineharibika na alipofika kcmc wakamwambia ana KANSA YA DAMU ambapo dalili yake pia ni bandama kuharibika , lkn huyo mama anabishana na majibu ya kote huko na kwa maelezo ya huyo mama alipewa ela tu wala hawakundikiza hospitalini ili wakafodge majibu vzr , sasa huyo mwalimu alikuwa anaenda kuedit majibu au vp ?
KIFO KINAKUJA MUDA WOWOTE , HII ILIPASWA IWE FUNDISHO KWENU , PIMENI AFYA ZENU NA SIO KUSUBIR KUJA KUWASHUSHIA LAWAMA WENGINE
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
mna ushahidi sio mnabeba maneno ya mama aliyechanganywa na msiba anatafuta pa kutulizia akili zakeHayo ni matokeo ya uongozi mbovu katika shule....walimu wanashindwa kusimamiana na kuchunguzana kila mmoja anafanya atakavyo
taja dalili za kansa ya damuAnataka majibu yasiyo na shaka. Yeye kaona majeraha ya fimbo, hospital ya kwanza wamesema mtoto bandama limepasuka na mtoto kasema alipigwa ngumi. anataka kujua ukweli. Hivi wewe angekuwa mwanao ungetoa majibu mepesi kama haya?
And yet, some idiots incites.Hawa madaktari wengi wao hawajafuzu umahiri wa kitabibu kutokana na uwezo duni wa kiakili na utambuzi hafifu wa mambo kwa ujumla.
Ukifika hospitali inabidi uwe na machale mengi, unaweza kupandikiziwa mauchafu ya ajabu kama yale mauchafu ya corona kwa sababu hata daktari mwenyewe hajui corona ni kitu gani.
They are terribly incompetent lacking basic intelligence and knowledge of ordinary facts.
Yule mwalimu aliyechezesha watoto mziki wa annii,alishughulikiwa haraka.Duuu mkuu pole sana bila shaka Dkt. Gwajima D atakuja hapa kutoa majibu …aisee inauma sana sana yani mwalimu anampiga ngumi mtoto hapa hii haikubalika kabisa kabisa!
Nafikiri kwenye hili Mwl Mkuu anapaswa kuchukuliwa hatua kabisa na huyo mwalimu anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria hii ni hatari!
Halafu Dkt. Gwajima D unapaswa kutwambia huyo mtumishi wako wa dawati la jinsia anaye lalamikiwa kupuuza watu unapaswa kumuondoa pale hapamfai kabisa!
Hawezi kukujibu huyo. Hana umahiri wa kidaktari.Nimekuuliza, mtoto ana nimonia, umempa adhabu ya kukaa kwenye maji, akafa. Ripoti ya Dr imeonyesha nimonia imemuua, inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
Wewe inaonekana upo hapo maeneo ya shule.kwahiyo unahisi wazaz wa mkoa wa kilimanjaro ni wajinga kukaa kimya ? kama huyo kijana angekuwa na tabia hizo kwa ninavyowajua watu wa kilimanjaro wangekuwa wamekiwasha tyr
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Unaweza fikiri yeye ndo mwalimu.Hawezi kukujibu huyo. Hana umahiri wa kidaktari.
Yale yale ya D MBILI.
mnapoelimishwa mpende kuelemika , KCMC wajibu nini wakat walitoa majibu na majibu yao yanafanana na majibu ya hatua ya kwanza , ukisoma bandiko hilo lipo wazi kabisa na hilo bandiko ni kwa mujibu wa huyo mama na sio mwl , kinachowachanganya wengi ni BANDAMA KUHARIBIKA ILA SIDHAN KAMA UNAJUWA HATA BANDAMA INAPATIKANA WAPI MWILINI UHUSIANO WA FIMBO NA BANDAMA , PIA UHUSIANO WA NGUMI NA BANDAMAMkuu samahani sikujui, ila kwenye hili funga mdomo wako kaa kimya, na uache KCMC Ijibu shutuma zake., Ikiwezekana Hii ID ichunguzwe wewe utakua mmoja wa wauwaji.
hahaaa unazingu aseee , hizo D alisomea chuo ganHehehe. Nyie madktari wenye D MBILI ni vituko, hamjafuzu umahiri wa kitabibu ndio maana mgonjwa wa majeraha ya mwili anaambiwa ana KANSA!
Full ukanjanja na kupiga ramli kama magoigoi ya kichawi. Uwezo duni wa kikazi na vigezo hafifu vya kitaaluma.
Mtu ana D MBILI ataweza wapi udaktari zaidi ya kubambia bambia tu na kutoa majibu feki ya kikanjanja! Hehehe [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
house maid na mwl aliesomea ETHICS za kaz wanafanana ? ina maana ww unaez mpiga mtoto wa drs la kwanza kisa huyo housemaid aliweza ?Uliwahi kuona ile video ya mtoto anapigwa na house maid Uganda? Mtoto wa miaka 2 au 3 hivi? Anapigwa mangumi na mateke kama mwizi? Kama kitu hujawahi kuona usiseme hakiwezekani. Dunia imejaa makatili ambao mtoto wako kwao ni kama paka tu wanaweza kumpiga hata panga akafie mbali.
WEWE NI MWALIMUhouse maid na mwl aliesomea ETHICS za kaz wanafanana ? ina maana ww unaez mpiga mtoto wa drs la kwanza kisa huyo housemaid aliweza ?
hv unawachukuliaje walimu mkuu ?
ebu tuache dharau basi
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
unatumia kigezo gan kuamin mtoto alipigwa ngumi na haikuwa KANSA YA DAMU ? je una ushaihidi kuea huyo mwl alijuwa mtoto alikuwa anapitia hatua zipi za kimatibabu ?Kama siwezi kumpiga mtoto ngumi inamaana hawezi kupigwa na mwingine? Wewe ndo unashindwa kuonyesha utimamu kwa kuhitimisha mambo kwa hisia.
Halafu unatakiwa ujue kuwa mtoto kuwa na kansa haimaanishi kwamba hawezi kupigwa.
MFANO,
mtoto ana nimonia halafu ukampa adhabu ya kumweka kwenye pipa la maji baridi akafa, dr akisema kafa kwa nimonia inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?