Mwanangu Ana E Zote na F 1 ya Hesabu, Je Anaweza Kupata Nafasi za Nursing?

Kwani Wewe Ulipata Ufaulu Gani Ulipo Maliza Kidato Cha 4?(form 4)
 
Nenda kwenye vyuo vya nursing ukaombe ufafanuzi hoping watakushibisha
 
Inakoelekea tutakua tunaogopa kwenda mahospitalini kwa kua vilaza ndio wanaoingizwa kwenye sekta nyeti siku izi.
 
Anakimbilia wapi ?? Umri wenyewe huo..mwambie arudi darasani ajipange upya. Otherwise unalea mzigo, utakuja lemewa !!

Maisha yenyewe ndio haya ya escrow. #MtazamoTu .
 
mh huyo mrudishe darasani maana kwa perfomance hzo hapa mfai.
hzo n dalili za kutaka kutu ua.tusije fanyiwa operation za vichwa bdala ya mguu afu tukafa buule kwa uzembe wakipumbav kama kumlazmisha mtu kweny fani asiyo iweza,
mrudishe shule anawahi wapii kwa alama hizoo? asidandie gar kwa mbele arud darasani tu.
 
hapo hana sifa kabisa...maana hata cheti hana...kiubinadamu unaweza pata ila ngazi ya cheti.. jaribu utapata.
 
Anaweza kwenda vizuri tu hapo ni hela yako tu maana serikali yetu mwenye hela ndo anathaminiwa
 
acheni utani nursing inahusu maisha ya watu, atafte fani nyingine
 
Chakufa mtafutie pasi na meza aanze kazi ya udobi.
nadhan itamfaa si elimu imemshinda
huku atuitaji vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…