Mwanangu anakoroma sana

Mwanangu anakoroma sana

Crucial Man

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
3,404
Reaction score
1,311
Wanabodi hemima kwenu,mwanangu ana umri wa miaka mitatu.yaani dogo akilala anakoroma sana,wasi wasi wangu ni kwamba anaweza akaendele na ka habit haka mpaka ukubwani.napenda kuuliza je kuna namna naweza nikastop ka habit? Je kukoroma ni ugonjwa au husababishwa na nini.? Asanteni in advance.
 
je, wewe au partner wako anakoloma? anaweza badilika baadaye, lakini pia kampeleke hospital kwa uchunguzi.
 
mpeleke mtoto hospitali kwa uchunguzi...vema ukiwaona wataalamu wa masikio,pua na koo (ENT)
 
Back
Top Bottom