Mwanangu ananirekodi video za uchi nikioga na nikilala

I can imagine the feeling. Kwamba umetelekezwa na mwanaume ukapata shida sana mpaka ukasimama mwenyewe. Na haikuwa rahisi lakini ukimuona mwanao unapata nguvu ya kupigana umpe kila kitu asikose chochote. Mwanao anakuwa kila kitu chako full kumdekeza without knowing unakosea sana.

Sitarajii akina Mama kuja hapa na kumtukana huyu Mama wa Mtoto. Hii ni scenario ambayo inatugusa hata kama hatujafika hiyo extent aliyofika yeye. Tunapokuwa wazazi pekee kwa watoto wetu (single mothers) basi tunakuwa karibu na watoto wetu sana. And sometimes not in a healthy way even though we do not mean any harm.

Ndo yamemkuta mwenzetu. Hakujuwa when to stop doting on her son. Matokeo yake impact kwa mtoto tumeiona. I believe in the child's innocence as much as I believe in the Mother's innocence.

Solution is that the Kid should definitely be counseled.

As for the men bashing the lady. Stop being a sperm donor. Only make babies you can raise. Shubaaaamit.
 
I knew someone would find a way to put the blame on men. There are millions of single moms out there, raising their kids with proper morals. There is no way we're going to accept the blame of a mentally disturbed woman who thinks it's fine to undress infront of her nine year old son!

Last but not least, the reason we have sperm donors is because there is a good number of sperm recipients out there. The supply equals the demand!
 
Take a deep breath and read my input again. I have definitely stated that she was wrong and provided a solution to the problem.

Take a chill pill man. Damn.
 
Acha kumchafua Kaka wa watu kwa ubaya yeye huletewa na wadau.Kwani kwenye jamii haya hayapo??yapo Sana.Pia hii style yake ni.kama ya Yule jooromofin wa Nigeria .That is real and is happening in our daily life so learn
 
huyu idd alaaniwe cio kwa kupandisha watu mihemko na hizi story zake za kimazengo.
 
Ukiangalia saaana, utakuta ndio wale ma super woman,..... kwa kweli siku hizi madada mnajipaga moyo kwa kulea watoto hata pale mwanaume akiwa hajakataa mtoto. Kukitokea kukosana kidogo mnaona bora muishi na mtoto mulee peke yenu....

Ni hivi malezi sio provision of money only..... huyo kuna siku atakubaka kabisa, ngoja kitombo tuu.

Mtotot akifika 5 years anajiogesha mwenyewe na hakuna kuoga na mtoto pale tuu anapoanza kuongea
 
Kuna vitu kwenye hii dunia ni kichefu chefu sana,huu ni uchafu uliopitiliza.Kweli utandawazi unatupeleka kubaya sana,hebu angalia mwenye we anavyojisifia 'Mwanangu ana uhuru na simu yangu na ni mtundu sana, ana akili sana na mara nyingi kwenye simu yeye ndiyo hunielekeza baadhi ya vitu',hajui kuwa hili nalo ni tatizo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…