Mwanangu anapenda kula vitunguu

Mwanangu anapenda kula vitunguu

lun

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
667
Reaction score
743
Habari zenu members napenda kufàhamu kama kuna madhara kwa mtoto anayependa sana kula vitunguu maji na swaumu au kama ana upungufu wa vitamin naomba kuwasilisha!
 
Sidhani kama kuna madhara yoyote yale labda ule muwasho wa vile vitunguu
 
Wangu anapenda kula vitunguu swaumu tangu mdogo ana miaka 3 sasa ni binti. Sioni tatizo maana ni dawa
 
Wangu anapenda kula vitunguu swaumu tangu mdogo ana miaka 3 sasa ni binti. Sioni tatizo maana ni dawa
Hata wangu ni binti tangu kadogo kanakula okay kumbe inapenda zaidi ache aendelee kuvila aisee
 
wangu anakula sabuni vitunguu yaani ni tafran , imetubidi sabuni tuziweke juu mbali ambapo hafikii, hilo nalo vipi
 
wangu anakula sabuni vitunguu yaani ni tafran , imetubidi sabuni tuziweke juu mbali ambapo hafikii, hilo nalo vipi
Acha mzazi aitwe mzazi ndo mana hata kwenye vitabu vya Mungu wamewekwa aisee tuheshim na kuwajali
 
Kwa mtindo huu, hawa watoto si watatengeneza mchuzi matumboni, mwanangu ye anapenda kula nyama mbichi na mi mwenyewe nilikuwa napenda kula samaki wabichi nilipokuwa mdogo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
MTT Wa rafiki Yangu anakula nyanya mpaka zinafichwa kama pesa kaliumwa mpaka amoeba....
 
Huyo mwanao ni me au ke??? Kama me akifikia umri fulani atakuwa ni wa kuweka mbali na watoto
 
Back
Top Bottom