zamani1116
Member
- Oct 24, 2017
- 28
- 6
Nina binti wa mwezi mmoja ratiba yake ya kulala ilikuwa nzuri tu na ya kawaida kama watoto wengine lakini cha kushangaza jana usiku hakulala kwa masaa kama sita yaani aliamka kama SAA tatu ya usiku mpaka saa tisa ya usiku ndio akaanza kusinzia ,mchana alilala vizuri tu na kingine kilichonishangaza hakuwa analia wala kuonyeshha dalili yyte ya kama anasumbuliwa na kitu ,alikuwa kimya na tukicheza vizuri tu.....je hili ni tatizo ama kawaida!??