Mwanangu Anasumbuliwa na insomnia

zamani1116

Member
Joined
Oct 24, 2017
Posts
28
Reaction score
6
Nina binti wa mwezi mmoja ratiba yake ya kulala ilikuwa nzuri tu na ya kawaida kama watoto wengine lakini cha kushangaza jana usiku hakulala kwa masaa kama sita yaani aliamka kama SAA tatu ya usiku mpaka saa tisa ya usiku ndio akaanza kusinzia ,mchana alilala vizuri tu na kingine kilichonishangaza hakuwa analia wala kuonyeshha dalili yyte ya kama anasumbuliwa na kitu ,alikuwa kimya na tukicheza vizuri tu.....je hili ni tatizo ama kawaida!??
 
Hiyo siyo insonmia bana.
Ni hali ya kawaida kwa vichanga as long as umejiridhisha kwamba yuko ok, hamna kitu kinambughudhi.

Sometimes joto likimzidi anaweza kukosa pozi akashindwa kusinzia..
 
Hiyo siyo insonmia bana.
Ni hali ya kawaida kwa vichanga as long as umejiridhisha kwamba yuko ok, hamna kitu kinambughudhi.

Sometimes joto likimzidi anaweza kukosa pozi akashindwa kusinzia..
Shukran
 
hahaha insomnia kwa watoto? haha !hana shida huwa wpo hvyo !wanaweza shinda mchana mzima amelala ikifika saa12 jion ndo anaamka mazima !ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…