MtanzaniaMakini
Member
- Oct 20, 2019
- 41
- 55
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa udogo wake namuhurumia sana nimekuwa mtu wa mawazo sana sindano zinamuumiza hapa napoleta post amelazwa hospital ya Rabinsia wanasema ni Rimonia.
Hata akitoka kiua kipp paleoale hakippni. Naomba kuleta kwenu mnishauri kwa yoyote aliyepitia changamoto hii mwanae aliponaje nitashukuru kwa ushauri ili niweze msaidie kijana wangu huyu anayeteseka sana.
N:b hatuna historia za pumu katika familia zetu Dawa zote na sindano kashatumia na hazojamsaidia amekuwa mnyonge na kuppteza nuru sababu ya kifua.