Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

kwahiyo apo anaweza piga advance kwa result hizo.alafu kuna watu wananiambia anaweza kuchaguliwa katika selection zikitoka kama alichagua komb hizo

Wanakudanganya bila credit 3 national form 6 huruhusiwi kufanya
 
anadaiwa credit moja (c or above) ili afanye mtihani wa f.6. Kuwa na f ya hesabu, kusoma shule za private sio tatizo sana kwa sababu hajachagua comb. Yenye hesabu. In short, atafute credit moja zaidi ili aje afanye mitihani ya adv. Level

your so so right
 
Mkuu wangu Sheko huwezi kusoma A-level kama huna CREDIT 3, usiogope risiti tu mtihani utatoka, Pia ukisema uende Advance huku unatafuta Credit 1 basi ujue si vyema koz hata kama utapata hiyo credit basi utalazimika kupiga pepa la 4m6 kama Private Candidate(PC) kitu ambacho ni kibaya hakifai na utaweza kufeli kwani mithiani ya PC na usahishaji huwa haupo fair.

But ukirisiti na kupata credit ndo uende Advance with full 3 credits, hapo itakuwa poa sana koz utapiga pepa la 4m6 kama School Candidate(SC).

NOTE:
Talking from the experience.
 
Last edited by a moderator:

asante mkuu kwa mchango wako
 
Last edited by a moderator:
sawa mkuu ila mkuu mwenyewe anadai alikuwa vizuri sana kwenye GEOGRAPH na KISWAHILI anadai nimpe fedha aka appeal hiyo mitihani miwili je mkuu vp kuhusu matokeo ya kuappeal

Kuappeal ni day dream.
 
Mmm kaz ipo..me nazan cha msingi nw co kuangalia ulipojikwa badala yake angalia ulipoangukia..pia get known dat kurisits cku hz as a prvt candidt yan unapotaka kutafuta crdt lazma ufanye masomo 7 na sio moja coz unatafuta crdt moja. Pia suala la kuapeal lna kero na usumbufu mkubwa sana..beta to luk fowad kuliko kupoteza tu ela bure. Mwenyewe c umeona matokeo ya sa hv yalivo na vurugu za kutosha?. Ku apeal ckushaur.
 
kwanini mkuu

Mkuu ukiappeal matokeo hayawezi kubadilika hata siku 1 ili kuficha madhaifu ya baraza, Pia angalia matokeo yote ya kuappeal hata uki-back up miaka 3 ya nyuma hakuna aliyeweza kupata Credit kwa ku-appeal so solution hapa ni kurisiti tu kama bado wanajiandikisha otherwise ingia vyuo.
 
angepata iwapo angepata C tatu..hapo hata private awezi pata
 
Je! Kama ni chuo anaweza akaanza NA Diploma ya MD chuo chochote
 
Kwa matokeo hayo LAZIMA AANZE CERTIFICATE.
 
Dah! Yani hapo mwanangu advance ndo basi tena!
 
Dah! Yani hapo mwanangu advance ndo basi tena!

Mkuu mwambie arisiti tu, Mi sipendekezi maswala ya vyuo koz ni pas ndefu sana mpaka afike university basi atakuwa ameshazeeka.
 
Ngoja nimwambie atafute hilo kalai moja
 
Siku hizi bwana maisha yamekuwa easy sana, uwepo wa private schools nyingi imekuwa msaada sana, enzi zetu hapo mwanao ndo nitolee mana tulitegemea government schools only, ambazo kwa matokeo haya asingepata vinginevyo aende short combination pamoja na ualimu.

Mkuu mwambie dogo next time akaze msuri siyo kuwa anakupa pressure ya kuwa unaumiza kichwa kwa kuja kuuliza hata wasiohusika na kuchagua wanafunzi wa kwenda high school, mwishowe inakuwa speculation tu na kukupa psychological boost, kumbe dogo hajafanya vizuri.

Shule nadhani atapata ila atatakiwa a arudie (reseat) ili apate credit ya tatu, sina uhakika kama anaruhusiwa kufanya somo moja tu, nilisikia mfumo mpya unatakiwa kufanya masomo kadhaa wakati unapotafuta credit, je ataweza wakati anatakiwa concentration ya high school?

Mungu akusaidie ndg yangu.
 

sawa mkuu
 
itakua ngumu kuchaguliwa kwasababu;
1.Kigezo cha kwanza kusoma advance ni kupata Div1-3
2.Kigezo cha pili ni kuwa na credit zisizo pungua tatu(yani A,B au C na sio D wala F)
3.Kigezo cha tatu rakini hakina uzito sana kama ivyo nilivyoanisha hapo juu ni Kubalance Comb
Ushauri wangu:kama mwanao anataka kusoma Advance itambidi arisit ili apate credit moja au zaid
Ila kama anataka atimize ndoto zake mpeleke Collage watampokea!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…