Mwanangu atapata mkopo kwa matokeo haya?

Mwanangu atapata mkopo kwa matokeo haya?

Gs F
Kis E
Eng E
His E
Helsb wanaweza kumpa mkopo kwa hilo tokeo hapo juu
ndugu yangu omba mungu apate chuo then kuhusu mkopo hawaangalii ufaulu wa mtu hata kidogo bali HESLB wanaconsider vitu vifuatavyo
1. course aliyochagua
2. shule alizosomea (hadhi) kama ni private ama gvt
3. uwezo wa wazazi kutokana na viambatanisho.
4. ana wazaz wangap? au mlez
5. je mwanafunzi anadisability?

note: kuna vigezo vingi wanavyo consider ila hivyo ni main but atapata ondoa shaka sema % ngap hilo waachie wenyewe
 
With f ya gs huruhusiwi kusoma bachela ya aina yeyote ile..nijuavo mim..af mkopo zali tu..lon bod kujuana kwing...nina mfn hai wa mtu yatima, kasoma gvment olevo & a levo..n she got div 2..bt alinyimwa tho kesha apl mor dan tu tyms tena kwa kupeleka barua peke yake hko lon boad..bt tl nw no loan....tabu tupu
 
atapata tu chuo ila mkopo ni bahati na uambatana na hadhi ya shule alizosoma.
 
With f ya gs huruhusiwi kusoma bachela ya aina yeyote ile..nijuavo mim..af mkopo zali tu..lon bod kujuana kwing...nina mfn hai wa mtu yatima, kasoma gvment olevo & a levo..n she got div 2..bt alinyimwa tho kesha apl mor dan tu tyms tena kwa kupeleka barua peke yake hko lon boad..bt tl nw no loan....tabu tupu
Mkuu kwa kauli yako ya F za gs kukosa sifa ya kusoma bachela huoni kwamba kwa mwaka huu vyuo vingi vitakosa wanafunzi? labda waende Diploma coz madogo wamefeli sana haya masomo ya subsidiary---BAM na GS
 
With f ya gs huruhusiwi kusoma bachela ya aina yeyote ile..nijuavo mim..af mkopo zali tu..lon bod kujuana kwing...nina mfn hai wa mtu yatima, kasoma gvment olevo & a levo..n she got div 2..bt alinyimwa tho kesha apl mor dan tu tyms tena kwa kupeleka barua peke yake hko lon boad..bt tl nw no loan....tabu tupu

uko form four au six? hiyo lugha ya facebook hapa haitakiwi sawa? by the way sio kweli ukiwa na f ya GS hutaenda chuo hiyo ni unapewa penaty tu sawa?
 
uko form four au six? hiyo lugha ya facebook hapa haitakiwi sawa? by the way sio kweli ukiwa na f ya GS hutaenda chuo hiyo ni unapewa penaty tu sawa?

Hapo hata mimi nilistuka kwa kweli. Chuo huwa wanahesabu point tu kulingana na mahitaji sio kweli kwamba ukiwa na F mtu unakosa sifa. Pia kupata mkopo ni bahati lakini pia kupeleka maombi mapema, kukamilisha vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na maelezo yanayovutia, husaidia pia.
 
Nilishia std 7 wewe ulipoteuliwa kujiunga sec xul...n lugha ya ki fb unaijua wewe as ts lyk ndo ulikotokea....then epuka kudand tren..."i said nijuavo mim coz nina xperinc ambayo siwez weka hapa dat nimezungumzia hlo...dd i conclud kwamba dat hw t z...uckurupuke kjana:
 
utapata chuo ila sio kila mwenye matokeo mabaya anaenda ualimu tuwe wastaarabu, watu wanaenda ualimu na one zao, ni tofauti za kifamilia ndo zinawafanya watu wakimbilie ualimu:shock:
 
Kasoma o level na a level shule moja ya international mwanza

sasa kama kasoma shule ya internalional mkopo anataka wa nn?? Hebu mlipie na chuo alafu mkopo 2achie watoto wa wakulima huoni ata aibu umemlipia mtoto mamilioni alafu uje kuomba laki 8 mkopo wa UdOM au Laki tisa pale SAUT? Ona aibu mkuu
 
Hv mbona wanaoomba ushauri huku ni wa arts tu??
Ina maana hakuna waluomaliza six wa sayansi???
 
Hv mbona wanaoomba ushauri huku ni wa arts tu??
Ina maana hakuna waluomaliza six wa sayansi???

Ninaomba ushauri, mdogo wangu amepata III 15 , EGM E E E na GS S je anaweza kujiunga na Chuo kikuu?

Kama ndiyo je programme gani inamfaa?

Ninaomba ushauri ILI nimshauri
 
Chuo atapata kwa sababu princpo 2 anazo..ila achague course zenye cut of point ndogo. Me nashauri aombe IFM course ya INSURANCE & RISK MANAGEMENT au aombe bachela ya Education(Maths)
Tumaini iringa n hapo uhakika wa mkopo ni asilimia 99.
 
Back
Top Bottom