miss username
Member
- Mar 30, 2013
- 78
- 28
ndugu yangu omba mungu apate chuo then kuhusu mkopo hawaangalii ufaulu wa mtu hata kidogo bali HESLB wanaconsider vitu vifuatavyoGs F
Kis E
Eng E
His E
Helsb wanaweza kumpa mkopo kwa hilo tokeo hapo juu
Mkuu kwa kauli yako ya F za gs kukosa sifa ya kusoma bachela huoni kwamba kwa mwaka huu vyuo vingi vitakosa wanafunzi? labda waende Diploma coz madogo wamefeli sana haya masomo ya subsidiary---BAM na GSWith f ya gs huruhusiwi kusoma bachela ya aina yeyote ile..nijuavo mim..af mkopo zali tu..lon bod kujuana kwing...nina mfn hai wa mtu yatima, kasoma gvment olevo & a levo..n she got div 2..bt alinyimwa tho kesha apl mor dan tu tyms tena kwa kupeleka barua peke yake hko lon boad..bt tl nw no loan....tabu tupu
With f ya gs huruhusiwi kusoma bachela ya aina yeyote ile..nijuavo mim..af mkopo zali tu..lon bod kujuana kwing...nina mfn hai wa mtu yatima, kasoma gvment olevo & a levo..n she got div 2..bt alinyimwa tho kesha apl mor dan tu tyms tena kwa kupeleka barua peke yake hko lon boad..bt tl nw no loan....tabu tupu
uko form four au six? hiyo lugha ya facebook hapa haitakiwi sawa? by the way sio kweli ukiwa na f ya GS hutaenda chuo hiyo ni unapewa penaty tu sawa?
A level kasomea private?
Education anapata course zengine mwambie asahauKasoma o level na a level shule moja ya international mwanza
Kasoma o level na a level shule moja ya international mwanza
Hv mbona wanaoomba ushauri huku ni wa arts tu??
Ina maana hakuna waluomaliza six wa sayansi???