Gs F
Kis E
Eng E
His E
Helsb wanaweza kumpa mkopo kwa hilo tokeo hapo juu
Gs F
Kis E
Eng E
His E
Helsb wanaweza kumpa mkopo kwa hilo tokeo hapo juu
With f ya gs huruhusiwi kusoma bachela ya aina yeyote ile..nijuavo mim..af mkopo zali tu..lon bod kujuana kwing...nina mfn hai wa mtu yatima, kasoma gvment olevo & a levo..n she got div 2..bt alinyimwa tho kesha apl mor dan tu tyms tena kwa kupeleka barua peke yake hko lon boad..bt tl nw no loan....tabu tupu
Mkuu kwa kauli yako ya F za gs kukosa sifa ya kusoma bachela huoni kwamba kwa mwaka huu vyuo vingi vitakosa wanafunzi? labda waende Diploma coz madogo wamefeli sana haya masomo ya subsidiary---BAM na GS
mkopo lazima apate, kuna jamaa alikuwa na S ZOTE, yupo udsm anafanya degree ya mambo ya kale( Archaeology) na alipata boom kama kawaida! cha msingi wakati wa kuomba mwambie ajaze vyuo vyote vya serikali akiweka tuu cha private imekula kwake
acha kutudanganya bana!mtu mwenye S zote huyo hana principal pass hivyo hawez kupata nafasi chuo kikuu chochote tz!!
Ili mtu adahiliwe kusoma chuo kikuu ni lazima awe na atleast principal passes mbili!! Na kwa advanced level tunaposema principal pass tunamaanisha alama A mpaka E!
Na diploma wanahitaji principal pass moja na subsidiary moja!!,huyo jamaa yako kakudanganya mkuu,
tatizo watanzania ni wabishi sana!