LovelyLoveness
Member
- Nov 12, 2013
- 29
- 15
Habari zenu wanajamii, ninaomba msaada katika hili.
Siku nne zilizopita nilimpatia mwanangu dawa ya minyoo(Albendazol, two days dose) baada ya dozi aliendelea na normal dieting, sasa toka hiyo jumanne na leo ni jumamosi hajapata haja kubwa. Nimejaribu kumpa matunda kama ndizi, papai ila sijaona matokeo.
Nisaidieni, ni nini kinaweza kuwa chanzo cha tatizo? Je nifanyaje?( mtoto ana mkaka minne)