UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Wadau wa hapa nisaidieni cha kufanya mwanangu ana mwaka na miezi saba lakini hawezi zungumza au kutembea na anatambaa na matako yaani anasota na nimemmpeleka kwenye mazoezi toka mwaka jana na kwa maombi sana.
Kama kuna mtaalama ana kitu kingine aniongezee ili huyu kijana wangu wa kiume afanye yale yampasayo kufanya na umri alionao.
Kama kuna mtaalama ana kitu kingine aniongezee ili huyu kijana wangu wa kiume afanye yale yampasayo kufanya na umri alionao.