Mwanangu, ili uheshimike mtaani mkeo anapaswa kuheshimika kwanza

Mwanangu, ili uheshimike mtaani mkeo anapaswa kuheshimika kwanza

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
MWANANGU

Ukioa jambo la kwanza ili uheshimike kama mwanaume inatakiwa kwanza watu wamheshimu mkeo.

Kama mkeo haheshimiki hapo mtaani kwako, basically wewe ni kitu cha kutupwa.

Tena inawezekana vijana wa hovyo wameshaanza michezo ya kumfunua tupu yake.

Kama wewe unapendeza hivi mwanangu, unajiskiaje mkeo kuvaa manguo kama kigagula? Ile ni aibu yako.

Darasa limeisha, tawanyika.

Content created by: Dogoli Kinyamkela
 
Back
Top Bottom