Mwanangu nimekuruhusu nenda huko mjini lakini uwe makini na hao wazaramo wa huko mjini!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Hii ni kauli ambayo sitokaa niisahau siku nilipomuaga mama yangu mzazi kuwa naenda mjini kutafuta maisha, lakini kwa ukarimu na unyenyekevu mama alinitizama na kisha akasema!!!mwanangu!nimekuruhusu nenda kwa amani lakini uwe makini na hao wazaramo wa huko.

Kweli huwa nikikumbuka hii kauli huwa sielewi mama alimaanisha nini!!Vipi wewe mara yako ya kwanza kuaga kuwa anaenda mjini ni kauli gani ya mwisho mzazi au mlezi kukuambia!!
 
Mimi sio mzaramo ila mnakosea sana kuwaangalia wazaramo kwa mtizamo hasi,Ok imezoeleka kuwa unapokwenda eneo lolote mwenyeji huwa anadharaulika sana,ni kama kwetu mbeya wasafwa wanavyodharaulika,au waarusha kwa upande wa Arusha ingawa story hizo huwa haziendani kabisa na uhalisia,wazaramo waungwana sana,hawana shobo na mtu,ukienda mikoni mzaramo anasifika kuwa mtumwenye kiswahili fasaha duniani,wazaramo hawako hivo bhana acheni kuwachafua,kama walivyo makabila mengine,wasukuma,waarusha wasafwa wote hawa hawana kasoro yoyote, UBAYA HAUNA KABILA,DINI WALARANGI propaganda za ubaguzi sio nzuri kwa ustawi wa jamii na mustakabali wa taifa letu
 
Mkuu sijawabagua lakini asimia kubwa kama unatoka kijijini kuja dar saalam huwa wazazi au walezi moja kwa moja wanalenga hilo kabila!lakini hii ndo kauli aloniambia mama sijui alimaanisha nini!!
 
Nae mama ni matokeo ya ubaguzi tunaotakiwa kuupiga vita
 
Mi npo mjini Tangu mimba nilipo zaliwa skuambiwa chochote Naish vyema mpaka Leo.
 
Back
Top Bottom