Mimi sio mzaramo ila mnakosea sana kuwaangalia wazaramo kwa mtizamo hasi,Ok imezoeleka kuwa unapokwenda eneo lolote mwenyeji huwa anadharaulika sana,ni kama kwetu mbeya wasafwa wanavyodharaulika,au waarusha kwa upande wa Arusha ingawa story hizo huwa haziendani kabisa na uhalisia,wazaramo waungwana sana,hawana shobo na mtu,ukienda mikoni mzaramo anasifika kuwa mtumwenye kiswahili fasaha duniani,wazaramo hawako hivo bhana acheni kuwachafua,kama walivyo makabila mengine,wasukuma,waarusha wasafwa wote hawa hawana kasoro yoyote, UBAYA HAUNA KABILA,DINI WALARANGI propaganda za ubaguzi sio nzuri kwa ustawi wa jamii na mustakabali wa taifa letu