Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Sijatukana mkuu, ila uliposema huyo dada hakupenda kuwa hivyo umesema kana kwamba unamjua kindaki ndaki.Mkuu wangu Mnyenz na leo unataka tugombane tena ?
Hapana wewe ni jamaa yangu ,tubishane kwa hoja sio matusi ila ikifika hatua ya kupimana nguvu ,PM yangu ipo wazi namba nitatoa ili tukutane walau ijulikane nani zaidi upande wa ngumi ila kwa matusi mimi mweupe kaka mkubwa .
Pamoja kaka ,karibu tunywe hata bia ,sikuteki bwana uwe na amaniSijatukana mkuu, ila uliposema huyo dada hakupenda kuwa hivyo umesema kana kwamba unamjua kindaki ndaki.
BTW mie siwezi hata kurusha ngumi, mwili wangu ni wa mapenzi. Amani itawale.
Ko umewaolea ndugu na jamaa, ila sio wee binafsi km muhitaji wa mke?Siku moja nilikuwa naangalia TV na bimkubwa maigizo maigizo pale.Aliniambia na wewe siku moja uje uniambiee eti mwanamke kama huyo ndio unataka kuoa.Namshukuru Nimeoa mwanamke ambaye ndugu na Jamaa wamekubali.