Nilitaka kusema hili la kutokumpa ARV ila nikaogopa kushambuliwa.
Yaan hapo adili na healthy foods tu, ataona kama huyo mtoto atakohoa au kuharisha.
duuuuh kiatu kimenibana hiki pole sana mkuuuNililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).
Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.
Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.
Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.
Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.
Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?
Niko na huzuni sana ndugu zangu.
mmmh nimekos hata la kusema muhimu ni apime DNA kwanzaAnaweza kuwa aliambukizwa wakati wa kujifungua na ma dr. Ama mtotk huyo sio wako walikubadilishia wakati amezaliwa
DNA inaweza kuibua mengi na ndio ikawa mwisho wa familia, nafikiri jambo muhimu ni kumwanzishia mtoto dawa na pia kuwaambia yeye na wadogo zake hali halisi. Kutafuta mchawi kunaweza kuisambaratisha familia fasta.mmmh nimekos hata la kusema muhimu ni apime DNA kwanza
Wacha weeh...Ugonjwa huo cyo wa mauti bali utukufu wa Mungu utukuzwe ktk huo.
Wakubwa tupeane formula basi ya kutumia hiyo Habbat soda. Kwanza ikoje hiyo soda??Bonge la dawa habbat soda Mimi kwa sasa hua naenda Hosp kufata vipimo najitibu kwa miti shamba tu!
Watu wanapona ukifata proper dose though some people will argue!
AIDS is real, HIV is real.AIDS is real, HIV is hoax
I believe una matatizo ya akili, sio BureMambo yatakayo kufanya uwe VERIFIED instagram[emoji116]
hili swali huwa najiulizaga hata mm kwakwwli mwenye majibu atupatieHivi vitu vyenye ncha kali vikitumika Na mtu ambae ni + alafu kikakaa labda hata masaa mawili je mtu ambae sio + akitumia anaweza pata maambukizi?
Napata mashaka sana na hizi vifaa vya masaloon jamani tutapona kweli?
HIV is the name given to retrovirus which are real exist, if you say HIV is real then it must cause AIDS since the name it self means to suppress body immunityAIDS is real, HIV is real.
But HIV do not cause AIDS.
nashukur sana.ARV = Death Trap!
I would therefore strongly recommend the following hereunder:
1) Strictly switch to 'dietary meals' kwa huyo little angel, by maximizing on veges & matunda! Epuka kabsa kumpa junk foods/drinks. Mlo wake uwe ni healthy foods tu.
2) Maji safi & salama is part of the package. Anywe maji ya kutosha kwa siku. Better aianze siku na maji ya uvuguvugu yalokamuliwa limao kiasi, anywe asubuh anapoamka on empty stomach.
3) Apate uji-lishe on daily basis asubuh na usku. Better wekamo kijiko kimoja cha unga wa mlonge. Atumie asali tu (mbichi original) kwenye uji, achana kabsa na sukari za viwandani.
4) Mkingeni na infections mbali mbali, mfano Malaria, typhoid, n.k ili kumuepusha kunywa mavidonge (antibiotics) mara kwa mara.
5) Hakikisha ana furaha muda wote, acheke na kufurah.
Then baada ya miezi mitatu hivi au zaid, kwa kuyazingatia hayo mambo 1 to 5, mpelekeni akapimwe tena hicho kipimo cha h.i.v... YOU WILL BE SURPRISED!
-Kaveli-
Habbat soda iko ya mafuta na ya unga huwa inapatikana maduka ya dawa za asili utazipata ni nzuri mnoo na zinasaidia haswaa asikuambie mtu tunaangamia kwa kukosa maarifaWakubwa tupeane formula basi ya kutumia hiyo Habbat soda. Kwanza ikoje hiyo soda??