UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Habari wadau, nimekumbuka mbali sanaaa baada ya kupita mitaa hii leo infact sijaamini nilichoona sababu ama kwa hakika muda unakimbia sana.
Mimi ni moja kati ya vijana wadogo niliyo wahi kuhish huko baada nakumbuka nilikua na kaa nyuma ya Kamanyola Guest ambapo kwa sasa ni hostel za wanafunzi wa vyuo.
Nilikua naish na familia yetu kama Lady born lakini kimsingi sikuwahi kufikir kwa umri wangu ni nini kilipelekea mzee kutafuta nyumba maeneo yale ila leo nilitambua maisha tuu ndio yalikua yakipiga chenga.
Kwa kifupi napafahamu mwananyamala haswa, sema kikubwa na kilichonisibu ni kuhusu huyu mzee niliyemuona nikashikwa na imani na kukumbuka mengi sababu alukua family friend.
Nilishtushwa sio kwa kumuona mzee huyu ambae sikuhitaji kukumbushwa juu ya jina lake hapana nilishtushwa nilivyomuona na kukuta amejifunika tambala chafu na sehemu zake nyingine nyeti kumwagika kwa wanajamii.
Mzee huyu, mzee Jumanne msomi aliepatwa na matatizo ya uchizi kwa mazingira ya kutatanisha.
Huyu mzee sijaamini kama ni yule aliekua akija nyumbani na kutushauri juu ya shule na kusoma kwa bidii lakini leo amekua chizi muokota makopo anaejaza kila aina ya takataka pale kwake.
Mzee mwenye nyumba nzuri maeneo yale karibu na bar ya bakule ambayo baadae ikaamia pembezoni kidogo sasa hivi ni kules leo hii ni chizi muokota makopo daah kweli dunia haiko na usawa.
Miaka ile ilikua uwezi kuamini kama mambo yangekuaja kuwa hivi.. lakini lakini mpaka muda huu siamini kama mzee Jumanne ni Chizi wa kuokota makopo yani duuh .
Wakuu samahani nimestaajabu niliwahi kuishi mitaa hii miaka mingi sana lakini leo ninachokiona ni homa ya kustaajabisha mpaka mgonjwa mwenyewe daah.