Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwanachama maarufu wa klabu ya Wananchi, Yanga na shabiki wa soka, Hussein Makubi Mwananyanzala, amewataka wapenzi wa soka nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji.