Mwanariadha aliepooza ubongo aweka rekodi

Mwanariadha aliepooza ubongo aweka rekodi

errymars

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
98
Reaction score
285
Mwanariadha mlemavu Alex Roca Campillo, ambaye ana ulemavu kutokana na kupooza kwa ubongo, aliweka historia kwa kukamilisha mbio za marathon za Barcelona katika muda wa chini ya saa sita.

Campillo anaaminika kuwa mtu wa kwanza mwenye kiwango chake cha ulemavu kufikia mafanikio haya. Kabla ya hatua hii muhimu, Campillo alishiriki katika triathlons tano, marathoni nne na mbio zingine, akionyesha juhudi zote zilizozaa matunda

Hakika huyu ni Shujaa kabisa [emoji1376]
Screenshot_20230328-175637.jpg
 
Back
Top Bottom