Mwanariadha Gabriel Gerald Geay kukiwasha kesho Boston Marathon, Marekani

Mwanariadha Gabriel Gerald Geay kukiwasha kesho Boston Marathon, Marekani

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
View attachment 1713111493182.jpeg
Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54.

Kesho, Tena wanaingia dimbani pamoja na mshindani wake Evans Chebet kukiwasha Kwa mbio za Kilomita 42.195 (4.195KM) wote wapo chini ya kampuni kubwa ya Adidas.
 
Back
Top Bottom