View attachment 1713111493182.jpeg
Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54.
Kesho, Tena wanaingia dimbani pamoja na mshindani wake Evans Chebet kukiwasha Kwa mbio za Kilomita 42.195 (4.195KM) wote wapo chini ya kampuni kubwa ya Adidas.