Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Hata hivyo, Magdalena ndiye Mwanariadha pekee kwa sasa wa kike aliyefuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa mwezi julai, baada ya kupata muda mzuri mwaka jana septemba kwa muda wa 2:18:41 na kushika nafasi ya Tatu.
Imekuwa ngumu kwa wanariadha wengi, akiwemo Eliud Kipchoge aliyeshika nafasi ya 10 huku mkenya mwenzake Benson Kipruto akishinda mbio hizo.