Mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay aangukia pua Boston Marathon 2024. Je, nini kimemkuta ndugu yetu?

Mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay aangukia pua Boston Marathon 2024. Je, nini kimemkuta ndugu yetu?

DAGHI

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
186
Reaction score
401
BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona tena hata finishing line hakufika.

Je, nini kilitokea? Wadau tujuzane manake bongo ukishinda utasifiwa sana, ukichezea kichapo wanakaa kimya.

gabu.PNG
lema.jpg
 
Back
Top Bottom