D DAGHI Senior Member Joined Oct 12, 2015 Posts 186 Reaction score 401 Apr 16, 2024 #1 BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona tena hata finishing line hakufika. Je, nini kilitokea? Wadau tujuzane manake bongo ukishinda utasifiwa sana, ukichezea kichapo wanakaa kimya.
BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona tena hata finishing line hakufika. Je, nini kilitokea? Wadau tujuzane manake bongo ukishinda utasifiwa sana, ukichezea kichapo wanakaa kimya.