Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka jana 2022(saa 2:01:53), bila kumsahau mtanzania Gabriel Geay alishika nafasi ya 5 katika shindano hili akitumia muda wa saa 2:04:33...