Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Ndiyo, kama ilivyo pangwa itafanyika kuanzia tarehe 23 July hadi 8 August 2021.Hiyo Olimpiki ya Japan itafanyika mwaka huu?
Jana nilikuwa naangalia habari nikaona Wajapani wanafanya protest hawataki Olympic kwa kuhofia mfumuko wa Covid-19.Ndiyo, kama ilivyo pangwa itafanyika kuanzia tarehe 23 July hadi 8 August 2021.
Tutawasikiliza Maamuzi Yao, uzuri walio qualify wataruhusiwa kucheza, hapo itakapotangazwa.Jana nilikuwa naangalia habari nikaona Wajapani wanafanya protest hawataki Olympic kwa kuhofia mfumuko wa Covid-19.
Kati ya asilimia 60- 80 ya Wajapani wanapinga Olympics kufanyika mwaka huu.
Wajapani 350,000 wamepiga saini azimio la kutaka michezo hii isifanyike mwaka huu.
'A ridiculous idea': Japan growing anxious ahead of controversial Tokyo Olympics
The Olympic host nation continues to struggle with COVID-19 but is still scheduled to open its doors for the Summer Games.www.usatoday.com
Chama cha Madaktari wa Japani tqkribqni 6,000 kimetoa wito michezo hii isifanyike mwaka huu kwa kuhofia mlipuko wa Covid-19.
2021 Olympics: Association of Japanese doctors calls for Tokyo Games to be canceled amid COVID-19 spike
The Summer Olympics are scheduled to begin in Tokyo on July 23www.cbssports.com