Chakusikisha ni kuwa potentials kama hizi haziendelezwi. Huyu alitakiwa awe ameacha kazi jeshi ni awe professional mwanariadha na anaishi kwa sponsorships.Salama, hongera zake ila huyo Simbu alipotelea wapi maana ndiye siku zote alikua tegemeo lenu Tanzania kwenye mbio, halafu hapa itakua Wakenya na Waethiopia hawakuhusika mkaachiwa mpambane na Wanyarwanda, yote tisa natoa hongera maana mumewakilisha Afrika Mashariki vizuri, sema mlimuachia huyo mwarabu wa Bahrain kuchukua dhahabu, ilipaswa namba moja hadi tatu EAC kisha waachiwe mengine huko.
Congratulations to him. Tanzanians should follow suit and stop sitting on sporting potential. We are tired of representing this region in everything
There is no way you can beat us on broken English led by mr President.Congratulations to him. Tanzanians should follow suit and stop sitting on sporting potential. We are tired of representing this region in everything
π π πThere is no way you can beat us on broken English led by mr President.
HONGERA SANA KAMANDA. UMETUSAIDIA KUJENGA HESHIMA YA MTANZANIA DUNIANIMwanariadha Alphonce Simbu amefanikiwa kushinda medali hiyo katika Mashindano ya Majeshi ya Dunia yanayoendelea nchini China.
Mwanariadha huyo ambaye ni Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, alikimbia Marathon kwa saa 2:11:16 huku akiwashinda wakimbiaji wengine 95 kutoka nchi zaidi ya 30.
Katika mbio hizo mshindi wa kwanza ni Luche Sumi kutoja Bahrain aliyekimbia kwa saa 2:08:28, na mshindi wa tatu ni Mwanariadha kutoka Rwanda, John Hakizimana akiyekimbia kwa saa 2:11:19
View attachment 1246878
Salama, hongera zake ila huyo Simbu alipotelea wapi maana ndiye siku zote alikua tegemeo lenu Tanzania kwenye mbio, halafu hapa itakua Wakenya na Waethiopia hawakuhusika mkaachiwa mpambane na Wanyarwanda, yote tisa natoa hongera maana mumewakilisha Afrika Mashariki vizuri, sema mlimuachia huyo mwarabu wa Bahrain kuchukua dhahabu, ilipaswa namba moja hadi tatu EAC kisha waachiwe mengine huko.
πππ Tunanunua ndegeKwanini huyu jamaa hakwenda kwenye mashindano ya maana? Kuna marathon zaidi ya 6 zimempita toka alipotoka Olympic