Kweli kuna mkenya rafiki yangu amenambia pia jamaa alikuwa na wanawake kibao. Na mmoja mama mkwe anasema walishapeleka maari kwao hiyo ndio wanayemtambua. Kwa kifupi mkewe ana wakati mgumu kwani hata mama mkwe inavyoelekea anatolea mimacho hizo mali ndio maana anang'ang'ania mwanae ameuawa. But Kenyans, hata washikaji zake wanaamini ni ajali.
Ila jamaa alikuwa na ela vibaya sana nadhani ndio zilikuwa zinamtia ukichaa. Alilipwa (or ilikuwa alipwe) dola 20 m kama sikosei kwa ku appear tu kwenye marathon Marekani regardless atashinda au la.