GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tendo la Kujamba halipashwi kuwa au kuonekana ni la aibu kwani ni sehemu ya Kuutengeneza mfumo wako mzima wa Mwili ili ukae vyema hivyo ukimwona Binadamu anaona aibu / haya Kujamba mbele za Watu iwe kwa Makusudi au Bahati mbaya jua huyo ana tatizo kubwa la akili na anahitaji tiba ya haraka sana.
Wenzetu Wazungu na Wachina hata Wajapani katika hili wametuacha mbali mno na ndiyo maana unaweza kuwaona hawa Watu wakijamba popote pale hasa ' Kitu ' kikija na wengi wao wakishajamba tu utawaona ama wanafurahia kabisa tofauti na Sisi Waswahili ambapo Mmoja akijamba tu anajishtukia kabisa na akiona mnazidi Kumuangalia au Kumuhisi basi na Yeye ili Kuwazugeni mtamwona anamtafuta wa Kumuangushia Jumba bovu kwa Kumsingizia wakati kumbe Kiafya Kitendo cha Kujamba ni Kizuri mno.
Sasa ni imani yangu kubwa kabisa kwamba baada ya Utaalam huu wa Mwanasaikolojia kuanzia sasa Watanzania / Waswahili mtakuwa huru ama Kujamba au Kujambiana popote pale na wakati wowote na hili zoezi likianzia Kesho pale ' Feri ' kwa Wageni waalikwa na wala Viapo litakuwa ni jambo jema sana kisha na Sisi wengine ambao tutakuwa katika ' Madaladala ' na Sisi tutafanya yetu na hata huko Mashuleni na Vyuoni si vibaya hili likafanyika bila Kificho au Kuoneana aibu kwani si dhambi bali ni Kitendo chema tu.
Wauza Mayai ya Kuchemsha wote mnaotembeza mitaani nchini Tanzania tafadhali 10% yangu ya kile ' Trei ' mtakalouza msinikose.
Nawasilisha.