Mwanasheria aliyepelekwa mstari wa mbele Kharkiv baada ya kunusurika kifo asema harudi tena kupigana.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi.
Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya askari wa Urusi kwenye eneo la Novoselivka .Shambulio hilo la droni lilionekana kupangwa vyema na yeye akanusurika kwa vile tu alikuwa yupo katikati ya chumba cha jumba walilokuwa wamejificha.Baada ya hapo wakajikuta wapo ana kwa ana na vikosi vya warusi vyenye silaha nzito na walionekana kuwa na ari ya kupigana.
Japo Ihor alisalimika lakini alipoteza wenzake kadhaa wa karibu.
Volodymyr ambaye ni kamanda wa brigedi ya 32 ambapo kikosi cha Ihor kipo chini yake anasema mambo yalivyo huku sio kama mnavyosikia au kusoma kila siku katika taarifa za kijeshi zinazotolewa kwa waandishi wa habari.
1693571815063.png
 
Kutoka nchi gani?

View attachment 2735721
 
Back
Top Bottom