Mwanasheria anahitajika kwa ushauri

epic

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
27
Reaction score
5
Nina kesi inahitaji kwenda mahakama ya mwanzo kwa mwanasheria nakuhitaji kwa baadhi ya maelekezo ya awali
 
mimi ni mwalimu, tarehe 16/03/2013 tulipata msaada wa fedha za maji shuleni kwetu toka BOT pesa mkuu wa shule akapiga. kwa kuwa alijiwekea utaratibu wa kutowrka wazi mapato na matumizi walimu tulihoji tukaishiwa kutishiwa. tulikaa kikao cha walimu wote tukaandika madai yetu tukampelekea mkurugezi ikiwa ni pamoja na ubaguzi wa makabila unaofanywa na mkuu wa shule kwa kabila lake. kilichofuata mkurugenzi alimpa amri afisa elimu aje kushughulikia mgogoro afisa elimu hakuja . Tulipofatilia tukaishia vijembe kuwa tuna mdomo.
tuliamua kuwa kimya. kuanzia awamu ya JPM pesa za elimu bure zinaletwa lakini hatuna haki ya kuhoji. wote ambao wanaonekana kuhoji mkuu akawa anaturevange kwa kutopendekeza majina yao ktk semina, kusimamia mitihani, n.k.
Mwaka 2016 manyanyaso yakazidi tukaripoti kwa mkurugenzi mara ya pili tukiwa walimu 6 mkurugenzi hakufanya kitu. mkuu wa shule akaja na barua tuliyompelekea mkurugenzi hatukujua kaipataje.... akawa anatukana sana. kilichofuata mmoja wetu akahamishwa shule, mwingine akauawa kwa kupigwa kisu ktk mazingira yasiyoeleka na hata polisi hawakufanya uchunguzi wowote.
Waliobaki tukabaki kwa wasiwasi kiasi kwamba tukafumba midomo huku shule ikikabiliwa na uhaba wa madati, viti, majengo, hata walimu hatuna viti vya kukalia tunanyanganyana na wanafunzi, mwalim akakaa mwanafunzi darasan anasimama. Swala la mapato na matumizi ni ndoto na hatuna haki.
juzi limetokea zoezi la kuhamisha walimu kwenda shule msingi toka sekondari, walaka uliotaja walimu waliowahi kufundisha primary kisha kujiendeleza na kuhamishiwa sekondar kuwa ndio priority kisha ikiwa kuna ziada wapelekwe walimu wa diploma.
kwa kuwa mkuu analinda kabila lake na anachuki na wanaohoji akawaacha walimu 7 wenye diploma na wawili waliojiendeleza akatuhamisha 6 kati yetu mmoja ana masters, wengine degree kisa chuki awaondoe adui zake....
bila kuzingatia ziada tumefanyiwa ukatili wa kuhamishiwa msingi more than 10 kms away bila hata mia huku tukiacha diploma kibo.

je kuhamishwa kwa misingi ya chuki tunafanyaje?
na je ukabila nao vipi?
Rushwa haijachukua nafasi ktk kuhamisha maadui??

msaada jaman maana tupo njia panda.
namba yangu ni 0763227257
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…