Mwanasheria Mbabe Aje Hapa

Mwanasheria Mbabe Aje Hapa

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Under What Instance Did Ignolance Of Law Be An Excuse In A Climinal Charge
 
Kuna malipo? maana hata akija kuna kazi kubwa ya kutafsiri hiyo hoja yako kabla ya kujibu....
 
Kafanye assignment acha uvivu. Ungekua umekutwa na maswahibu ukahitaji jibu ningekupa, ila kukusaidia asgnment ni dhambi, tena bure!!
"Law is not for charity"
 
punguza ugoi goi, na ndio maana ukachagua kusoma au kwenda darasani. kuna kazi nyingi sana za kufanya. na husitegemee mahakamani kuulizwa swali kama hilo zaidi ya darasani.
 
Under What Instance Did Ignolance Of Law Be An Excuse In A Climinal Charge
hiyo kwenye red ndio nini kwenye sheria.
hii unataka ijibiwe kwa sheria za nchi gani? ni wazi hii ni assignment.
KASOME CRIMINAL PROCRDURES AND EVIDENCE ACT.
 
haha mkuu very tricky when ignorance of law is not a defense hapa najaribu i might be wrong najaribu : ignorance of law is a defense if: The ignorance takes away the purpose, knowledge, belief, recklessness or negligence required to establish a material element of the offense or the law provides that the state of mind established by ignorance constitutes a defense
 
Kazaneni Jamani, Kunawanao Elekea Lakini Wengi Majungu Mengi
 
haha mkuu very tricky when ignorance of law is not a defense hapa najaribu i might be wrong najaribu : ignorance of law is a defense if: The ignorance takes away the purpose, knowledge, belief, recklessness or negligence required to establish a material element of the offense or the law provides that the state of mind established by ignorance constitutes a defense

Ahsante
 
Back
Top Bottom