Aisee huyu mzee niliwahi kufanya nae kazi kweli anadharau sana...!
Ni mtu wa amri, ukali na sio friendly kabisa kabisa. He is typical Mkurya na ana tabia ya kujivuna sana kwa kuona wengine hawaweza kazi kabisa...! Lets wait and see him, this is just the beginning of his weird answers...!
Kwa kweli hata mimi sikumuelewa, ameongea kwa dharau sana, kwamba eti katiba ni kitu kidogo sana na eti watu wanaongea kama bata hawaleti hoja.
Viongozi wetu need to be serious and should think twice before making any comment, they annoy u know, boring.
Namuunga mkono mhariri huyu Mwanasheria mkuu "Amepotoka! Katiba mpya haiepukiki; na maji yakimwagika hayazoleki"
Tahariri Tz daima..Mwanasheria mkuu amepotoka
Habari leo Werema: katiba mpya ya nini?HabariLeo | Werema: Katiba mpya ya nini?
Nafikiri Jaji Werema ana tatizo la kubwa mawasiliano. Alitakiwa apewe mafunzo kidogo kumwelekeza jinsi ya kutoa maoni au majibu ya kistaarabu kwa hoja kubwa za kitaifa. Aidha ajue nafasi yake si ya kutoa hukumu (kama jaji mahakamani) bali ufafanuzi wa kisheria unaoambatana na mwelekeo wa nchi kisiasa. Aidha, jeuri ya "supremacy" ya CCM asiiendekeze sana. Inawezekana kabisa mtazamo wake kuhusu katiba hauna tofauti na wa baadhi ya wanaodai "katiba mpya" lakini zile chembe za jeuri na kejeli katika kauli zake zinamfanya aonekane yuko nje ya wakati. He needs to improve his tone and style of communicating his views to the public lest he ends up being misunderstood as an empty box - only eager to please his boss.
Hesabu : Mramba +Werema +........+......+Makamba=Wametupeleka babaya wakae kujibu hoja za kebei hizi wasidhani naye JK anapendezwa na uchochezi wao
Kwa kweli hata mimi sikumuelewa, ameongea kwa dharau sana, kwamba eti katiba ni kitu kidogo sana na eti watu wanaongea kama bata hawaleti hoja.
Viongozi wetu need to be serious and should think twice before making any comment, they annoy u know, boring.
Namuunga mkono mhariri huyu Mwanasheria mkuu "Amepotoka! Katiba mpya haiepukiki; na maji yakimwagika hayazoleki"
Tahariri Tz daima..Mwanasheria mkuu amepotoka
Habari leo Werema: katiba mpya ya nini?HabariLeo | Werema: Katiba mpya ya nini?
Nasikia watu wa kule wanakula sana lile jani la Bob Marley! watu wa Iringa wao ni kiungo lakini jamaa wao wana kula, pengine Muheshimiwa ana kibustani nyuma ya nyumba yake!Werema ametutia aibu sana wakurya. sijaona mkurya mpuuzi kama huyu.najuta.
Kwa kweli hata mimi sikumuelewa, ameongea kwa dharau sana, kwamba eti katiba ni kitu kidogo sana na eti watu wanaongea kama bata hawaleti hoja.
Viongozi wetu need to be serious and should think twice before making any comment, they annoy u know, boring.
Namuunga mkono mhariri huyu Mwanasheria mkuu "Amepotoka! Katiba mpya haiepukiki; na maji yakimwagika hayazoleki"
Tahariri Tz daima..Mwanasheria mkuu amepotoka
Habari leo Werema: katiba mpya ya nini?HabariLeo | Werema: Katiba mpya ya nini?
Mkuu ! tuliambiwa tule nyasi na tukakubali, sembuse hii midomo ya Bata !Kwa hiyo Kawaita Pinda, Agustino Ramadhani, Mkapa, Slaa, Mnyika, Warioba n.k kuwa ni Mabata kwanini kikwete asimfukuze kazi?