mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Mark Bomani,aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa Tanzania katika kipindi cha Hamza Kassongo kipindi cha Mchakato wa Katiba amesifia katiba ya Kenya.
Akizungumzia kuhusu mchakato wa katiba Tanzania,kwa mfano amezungumzia wabunge kutakuwa mawaziri kama ilivyo kwenye katiba ya Kenya,mahakama ya kadhi kwenye katiba ya Kenya,kiwango cha mawaziri. Kumbe sipo peke yangu ambaye naiona katiba mpya ya Kenya kama moja ya katiba nzuri duniani ,tatizo ni utekelezaji wake. Kuna sehemu nimeandika kua heri tusingepoteza fedha za umma kwa tume ya Warioba. Ni bora tunge -copy & paste -katiba ya Kenya kwani hao waliopewa jukumu akina Warioba wamebadilika mno. Wanafanya kazi kwenye tume kisiasa zaidi.
Kitu kingine nilichopenda katiba ya Kenya ni kuhusu serikali ya majimbo,ukomo wa mamlaka ya uraisi kuteua mawaziri ,pia raisi wetu anateua kila kitu ni utitiri kama alivyosema Mzee Bomani,sasa tukiwa na raisi ''dhaifu''ateteua utitiri wa 'wadhaifu' pia.