PreGE2025 Mwanasheria mkuu wa serikali ashangazwa Kauli za No reforms No election, asema reforms zimeshafanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We ngedere kaharishe huo uchafu tumboni
Hata ukitukana haitakusaidia chochote kubadili ukweli kuwa uwongo.
Naweza kuwa NGEDERE Ila ni hatar zaidi kuliko kuwq CHAWA.
Unasumbuliwa na ujinga wa Kihalaiki wewe
 
Hao chadomo wanachokitafuta ni kt kingine wanajua kabisa hawawezi kushinda uchaguzi wameona waharibu nchi yetu km alivyosema mwenyekiti wao kuwa watakinukisha. Uzuri nchi yetu iko imara walishastukiwa mapema na kwisha hbr yao
Uliishia la ngapi?
Kukinukisha manake ni kuleta machafuko???
 
Huyu mjinga jinsi anavyoongea kana kwamba Sisi sote tulikuwa bado hatujazaliwa
 

Huyo Johari ni wa kupuuzwa, ni mtu hatari kwa udtawi wa Tanganyika. Hiyo ndiye aliyesimamia uporwaji wa bandari za Tangayika. Huyo ni adui wa Tanganyika.

Siku Taifa hili likipata kiongpzi mzalendo, huyo ni miongoni mwa watakaotakiwa kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa makubwa dhidi ya Tanganyika.
 
Hawa hawa, ndio washiriki wa hilo GENGE la Samia Suluhu Hassan.
Wanadhani waTanzania hawana akili za kutambua ajenda zao ni nini?

"NORNOE"

Aendelee Kushangaa hivyo hivyo!
 
Hawa watu ni kima sana mbona wanatuona wajinga
 
Laana ya kushiriki kuuza bandari yetu imeshamuwehusha huyu, kwa kauli hii anabaki kuwa chawa tu kama yule kibudu Lucas Mwashambwa
 


JK na genge lake wanajiteteq
 
Hutu huyu aliyeingilia suala lililokuwa mahakamani?
 

..kama wadau wa uchaguzi wanasema wanataka mabadiliko zaidi ya hayo yaliyofanyika kuna tatizo gani kuwasikiliza?

..Mwanasheria Mkuu sio mgombea ktk uchaguzi sasa kwanini hataki kusikiliza kilio cha wale anaowatungia sheria na washiriki kwa maana ya wagombea ktk uchaguzi?
 
Siku za karibun watu wanaoonekana kuchanganyikiwa kwa kasi ni wale wanaovaa suti za gharama,kutembelea magari mavx yenye plate number unique,na wenye kushukilia nyadhifa kubwa taifani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…