comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
CHADEMA na wanaharakati wengine wamekuwa wanadai kupotea kwa watu kadhaa. Miongoni mwao wapo wanasheria akiwemo Lissu. Kinachoshangaza ni kuwa wakati sheria zetu zinaruhusu habeas corpus(KILATIN) kwa kiingereza “show me the body.”kuilazimisha serikali itoe maelezo kama upo ushahidi wa kuihusisha serikali.
Lengo la habeas corpus ni kupinga kukamata, kushikiria, kufunga watu kinyume cha sheria. Tuna wanasheria wasio na weledi na wapiga kelele tu
Lengo la habeas corpus ni kupinga kukamata, kushikiria, kufunga watu kinyume cha sheria. Tuna wanasheria wasio na weledi na wapiga kelele tu